THE NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA FORM TWO NATIONAL ASSESSMENT (FTNA) 2021 RESULTS
USAILI KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2024/2025
NAFASI ZA PRE-FORM ONE 2024/2025
Uongozi wa Shule ya Sekondari Maria De Mattias inayopatikana Kisasa “B” Manispaa ya Dodoma, unawatanagzia wazazi/walezi wote nafasi za masomo ya PRE-FORM ONE na FORM ONE kwa mwaka wa masomo 2024/2025.
FOMU ZA KUJIUNGA
Fomu za kujiunga kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2024/2025 zinapatikana maeneo yafuatayo kwa gharama ya Tsh. 20,000/= tu.
- Shuleni Maria De Mattias (Dodoma).
- Morogoro, kwa Masista Waabuduo Damu ya Kristo (Kola B): 0762987474
- Dar es Salaam, Mbezi Beach-Tangi Bovu kwa Masista: 0628291000
- Dar es Salaam, Msimbazi Center Chumba namba 22. 0715265446
- Moshi Bookshop (Kilimanjaro).
NAMNA YA KUJIUNGA
Usaili (interview) utafanyika tar 16/09/2024 shuleni Maria De Mattias (Dodoma) na Mbezi Beach Tangi Bovu (Dar es Salaam).
Muda wa kuripoti kituo cha mtihani ni saa moja kamili asubuhi.
NB: Shule ya Sekondari Maria De Mattias ni shule ya Bweni kwa O-LEVEL na A-LEVEL na ni ya wasichana tu.
“ Mlete mwanao Maria De Mattias Sekondari kwa Elimu na Malezi bora”.
USAILI KIDATO CHA TANO KWA MWAKA WA MASOMO 2024/2025
USAILI KIDATO CHA TANO MWAKA WA MASOMO 2024/2025
Uongozi wa shule ya Sekondari Maria De Mattias unatangaza nafasi za masomo kwa kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2024/2025 katika michepuo ifuatayo:
PCB, CBG,PCM,PGM,EGM,HGE,HGK, HGL na ECA.
Fomu za kujiunga zinapatikana;
(i) Shuleni kwa gharama ya Tsh 20,000/= tu.
(ii) Dar es Salaam Msimbazi Center na Mbezi Beach Tanki Bovu kwa Masista Waabuduo damu ya Kristu kwa gharama ya Tsh 25,000/= tu.
USAILI UTAFANYIKA SHULENI MARIA DE MATTIAS SIKU YA JUMANNE TAR 09/04/2024 SAA 02:00 ASUBUHI
KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NA UONGOZI WA SHULE KUPITIA:
(a) 0745141511 au 0769726461 au 0756715173.
Tangazo la Masomo Kidato cha 5 2023
SHULE YASEKONDARI YA WASICHANA MARIA DE MATTIAS INAKUTANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA TANO KWA MWAKA WA MASOMO 2023/2024 KWA (TAHASUSI) COMBINATION ZIFUATAZO
CBG, PCB, PCM, PGM, EGM, HGE, ECA, HKL, HGK, HGL
Maria De Mattias sekondari ni shule ya Bweni kwa wasichana pekee inayomilikiwa na Masista Waabuduo Damu ya Kristo (ASC). Shule ipo umbali wa km6 kutoka katikati ya Jiji la Dodoma barabara ya Morogoro karibu na stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani, Shule ina mazingira Mazuri ya kujifunzia, Maktaba Bora yenye vitabu vyote kwa masomo Yote, Maabara ya kisasa ya Komputa, Walimu wenye sifa Bora na uzoefu wa kufundisha Pia shule ina maabara nzuri kwa masomo ya sayansi. Huduma bora za Bweni, Malezi bora kwa Mwanafunzi yanayozingatia Maadili ya kikristo na ya kiafrika.
Sifa za muombaji.
Muombaji awe amefaulu kwa kiwango cha daraja la kwanza na daraja la pili katika mitihani yake ya kitaifa ya kidato cha nne na kupata alama A na B katika tahasusi yake anayotarajia kusoma kidato cha tano na kwa mwanafunzi anayetarajia kusoma miongoni mwa tahasusi hizi za EGM, PCM, na PGM lazima awe amefaulu somo la hesabu na kupata alama ya C katika somo hilo na tahasusi zingine kama PCB, CBG, HGE, ECA, HKL, HGK, HGL angalau ufaulu wa alama ya D katika somo la hesabu
- Fomu ya kujiunga na kidato cha tano inapatikana shuleni Maria De Mattias au unaweza kupakua fomu hizo katika tovuti ya shule ambayo ni www.mariademattiassec.sc.tz au kwa maelekezo zaidi wasiliana nasi kwa namba za simu zifuatazo. 0679 72 64 61 / 0745 14 15 11 au 0755 155140.
- Fomu inapatikana kwa gharama ya Tsh. 25,000 na inalipwa shuleni moja kwa moja.
"Karibu shule ya Sekondari Maria De Mattias kwa Elimu Bora ya mtoto wako.”
Tangazo la Masomo Kidato cha Kwanza 2024
SHULE YASEKONDARI YA WASICHANA MARIA DE MATTIAS INAKUTANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2024
Maria De Mattias sekondari ni shule ya Bweni kwa wasichana pekee inayomilikiwa na Masista Waabuduo Damu ya Kristo (ASC). Shule ipo umbali wa km6 kutoka katikati ya Jiji la Dodoma barabara ya Morogoro karibu na stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani, Shule ina mazingira Mazuri ya kujifunzia, Maktaba Bora yenye vitabu vyote kwa masomo Yote, Maabara ya kisasa ya Komputa, Walimu wenye sifa Bora na uzoefu wa kufundisha Pia shule ina maabara nzuri kwa masomo ya sayansi. Huduma bora za Bweni, Malezi bora kwa Mwanafunzi yanayozingatia Maadili ya kikristo na ya kiafrika.
- Fomu ya kujiunga na kidato cha kwanza inapatikana shuleni Maria De Mattias au unaweza kupakua fomu hizo katika tovuti ya shule ambayo ni www.mariademattiassec.sc.tz au kwa maelekezo zaidi wasiliana nasi kwa namba za simu zifuatazo. 0679 72 64 61 / 0745 14 15 11/0756 71 51 73 au 0784 25 02 53.
- Kwa Wakazi wa Dar es Salaam Fomu za Kujiunga zinapatikana Mbezi Beach Tangi Bovu kwa Masista waabuduo damu ya kristu
- Fomu inapatikana kwa gharama ya Tsh. 20,000 na inalipwa shuleni moja kwa moja.
- Mtihani wa Kujiunga Utafanyika tarehe 18/09/2022
"Karibu shule ya Sekondari Maria De Mattias kwa Elimu Bora ya mtoto wako.”
Tangazo la Masomo Kidato cha Kwanza 2022-2023
SHULE YASEKONDARI YA WASICHANA MARIA DE MATTIAS INAKUTANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2021/2022
Maria De Mattias sekondari ni shule ya Bweni kwa wasichana pekee inayomilikiwa na Masista Waabuduo Damu ya Kristo (ASC). Shule ipo umbali wa km6 kutoka katikati ya Jiji la Dodoma barabara ya Morogoro karibu na stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani, Shule ina mazingira Mazuri ya kujifunzia, Maktaba Bora yenye vitabu vyote kwa masomo Yote, Maabara ya kisasa ya Komputa, Walimu wenye sifa Bora na uzoefu wa kufundisha Pia shule ina maabara nzuri kwa masomo ya sayansi. Huduma bora za Bweni, Malezi bora kwa Mwanafunzi yanayozingatia Maadili ya kikristo na ya kiafrika.
- Fomu ya kujiunga na kidato cha kwanza inapatikana shuleni Maria De Mattias au unaweza kupakua fomu hizo katika tovuti ya shule ambayo ni www.mariademattiassec.sc.tz au kwa maelekezo zaidi wasiliana nasi kwa namba za simu zifuatazo. 0679 72 64 61 / 0745 14 15 11/0756 71 51 73 au 0784 25 02 53.
- Kwa Wakazi wa Dar es Salaam Fomu za Kujiunga zinapatikana Mbezi Beach Tangi Bovu kwa Masista waabuduo damu ya kristu
- Fomu inapatikana kwa gharama ya Tsh. 20,000 na inalipwa shuleni moja kwa moja.
- Mtihani wa Kujiunga Utafanyika tarehe 10/10/2022
"Karibu shule ya Sekondari Maria De Mattias kwa Elimu Bora ya mtoto wako.”
JOINING INSTRUCTION F.1 ,2021-2022
Tangazo la Masomo Kidato cha 5 2022-2023
SHULE YASEKONDARI YA WASICHANA MARIA DE MATTIAS INAKUTANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA TANO KWA MWAKA WA MASOMO 2022/2023 KWA (TAHASUSI) COMBINATION ZIFUATAZO