NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2026

  • 31/08/2025

NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA KWANZA MWAKA: 2026 NA KIDATO CHA TANO (FV) MWAKA 2025/2026;

Uongozi wa Shule ya Sekondari Maria De Mattias inayopatikana Kisasa “B” Manispaa ya Dodoma, unawatangazia wazazi/walezi wote nafasi za masomo kwa Kidato cha kwanza kwa mwaka 2026 na kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2025/2026.

 

  • Kidato cha Tano (FV) nafasi bado zipo kwa Tahasusi (Combination) zifuatazo:

 

  • PCB, PCM, CBG, PGM, EGM, HGE, HGL na HKL.

 

FOMU ZA KUJIUNGA

Fomu za kujiunga kidato cha kwanza mwaka 2026 na kidato cha tano (FV) kwa mwaka wa masomo 2025/2026 zinapatikana maeneo yafuatayo kwa gharama ya Tsh. 20,000/= tu.

  • Shuleni Maria De Mattias (Dodoma).
  • Katika tovuti yetu ya shule ambayo ni: www.mariademattiassec.sc.tz.
  • Morogoro, kwa Masista Waabuduo Damu ya Kristo (Kola B): 0762987474.
  • Dar es Salaam, Mbezi Beach-Tangi Bovu kwa Masista: 0628291000.
  • Dar es Salaam, Msimbazi Center Chumba namba 22. 0715265446.
  • Moshi Bookshop (Kilimanjaro).

NAMNA YA KUJIUNGA

     Usaili (interview) utafanyika tar 16/09/2025 shuleni Maria De Mattias (Dodoma) na Mbezi Beach Tangi Bovu (Dar es Salaam).

     Muda wa kuripoti kituo cha mtihani ni saa moja kamili asubuhi.

 

       NB: Shule ya Sekondari Maria De Mattias ni shule ya Bweni kwa O-LEVEL na A-LEVEL na ni ya wasichana tu.

                      “Mlete mwanao Maria De Mattias Sekondari kwa Elimu na Malezi bora”.

Share

Contact us

Web Traffic

Today2144
Yesterday1806
This week7036
This month2144
Total285654

Follow us on