Maria De Mattias Secondary School - Items filtered by date: April 2024
Saturday, 06 April 2024 05:00
USAILI KIDATO CHA TANO KWA MWAKA WA MASOMO 2024/2025
USAILI KIDATO CHA TANO MWAKA WA MASOMO 2024/2025
Uongozi wa shule ya Sekondari Maria De Mattias unatangaza nafasi za masomo kwa kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2024/2025 katika michepuo ifuatayo:
PCB, CBG,PCM,PGM,EGM,HGE,HGK, HGL na ECA.
Fomu za kujiunga zinapatikana;
(i) Shuleni kwa gharama ya Tsh 20,000/= tu.
(ii) Dar es Salaam Msimbazi Center na Mbezi Beach Tanki Bovu kwa Masista Waabuduo damu ya Kristu kwa gharama ya Tsh 25,000/= tu.
USAILI UTAFANYIKA SHULENI MARIA DE MATTIAS SIKU YA JUMANNE TAR 09/04/2024 SAA 02:00 ASUBUHI
KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NA UONGOZI WA SHULE KUPITIA:
(a) 0745141511 au 0769726461 au 0756715173.
Published in
News