USAILI KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2024/2025
NAFASI ZA PRE-FORM ONE 2024/2025
Uongozi wa Shule ya Sekondari Maria De Mattias inayopatikana Kisasa “B” Manispaa ya Dodoma, unawatanagzia wazazi/walezi wote nafasi za masomo ya PRE-FORM ONE na FORM ONE kwa mwaka wa masomo 2024/2025.
FOMU ZA KUJIUNGA
Fomu za kujiunga kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2024/2025 zinapatikana maeneo yafuatayo kwa gharama ya Tsh. 20,000/= tu.
- Shuleni Maria De Mattias (Dodoma).
- Morogoro, kwa Masista Waabuduo Damu ya Kristo (Kola B): 0762987474
- Dar es Salaam, Mbezi Beach-Tangi Bovu kwa Masista: 0628291000
- Dar es Salaam, Msimbazi Center Chumba namba 22. 0715265446
- Moshi Bookshop (Kilimanjaro).
NAMNA YA KUJIUNGA
Usaili (interview) utafanyika tar 16/09/2024 shuleni Maria De Mattias (Dodoma) na Mbezi Beach Tangi Bovu (Dar es Salaam).
Muda wa kuripoti kituo cha mtihani ni saa moja kamili asubuhi.
NB: Shule ya Sekondari Maria De Mattias ni shule ya Bweni kwa O-LEVEL na A-LEVEL na ni ya wasichana tu.
“ Mlete mwanao Maria De Mattias Sekondari kwa Elimu na Malezi bora”.